Diamond Platnumz – Kamata

Diamond Platnumz – Kamata Music Mp3 Download

Diamond Platnumz the Tanzanian Singer and song writer released his single track titled “Kamata” which we made available for Free Mp3 Download.

Diamond Platnumz is a promising artist that gives out the best in the music production.

Always visit trendmusics.com for your latest Music from your favorite artist around the globe.

We keep you updated on Latest Naija Music MP3, Fakaza (South Africa Songs), Hip Hop, Album, Lyrics and Music Videos.

Download

Watch Diamond Platnumz – Kamata YouTube Video Below

https://youtu.be/N-Km767E3uo

Diamond Platnumz – Kamata Lyrics

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

About Heiress 4666 Articles
I am a Lady of Self Independent, Music Lover, & a Blogger, connect with me on (Facebook: Esther King) For Business Purpose Only...

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*


This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.